Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai kufuatia kifo cha mbunge mstaafu Mzee Samweli Sitta aliefariki dunia nchini Ujerumani…


Taarifa ya Ikulu mapema leo Novemba 7.2016
Tazama
picha za kumbukumbu wakati Rais alipomtembelea Mzee Sitta kumjulia hali
mnamo Septemba 19.2016, Jijini Dar e Salaam (Picha kwa hisani ya blog
ya IKULU)


chanzo moblog