RC MLINGWA;TANZANIA NA KENYA TUKATUNZE MAZINGIRA YETU;



Mkuu wa Mkoa wa Mara Dr Charles Mlingwa akiweka mipaka ya uhifadhi wa Mto Mara katika Kijiji cha Murito kata ya Kemambo Wilayani Tarime Mkoani Mara.



Mkuu wa Wilaya ya Rorya Simon Chacha akiweka udongo katika jiwe la uhifadhi wa Mazingira

Mkuu wa wilaya ya Bunda Lydia Bupilipili akiweka udongo katika jiwe hilo.

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiweka udongo katika jiwe hilo.








Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Moses Yomami akiweka udongo katika jiwe hilo



Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntiruhungwa akiweka udongo katika jiwe hilo.






Mkuu wa Mkoa akiongea na wananchi wa kijiji cha Murito kata ya Kemambo Wilayani Tarime Mkoani Mara kuhusu uhifadhi wa Mazingira.



Mto Mara ambao umeingia katika kijiji cha Murito Kata ya Kemambo Wilayani Tarime Mkoani Mara.
Powered by Blogger.